Post

FORM FIVE (V) 2022.

Uongozi wa shule ya sekondari Airport unayofuraha kuwatangazia nafasi za kujiunga kidato cha tano mwaka 2022. Masomo yataanza tarehe 01/06/2022 fomu zinapatikana shuleni kwa shilingi elfu kumi tu 10,000/=. Shule ni ya kutwa na bweni. Gusa link hii kudanlod fomu, Read More …

MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA 2021

Kuangalia matokeo ya kidato cha nne (IV) 2021  gusa hii link https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/results/s2378.htm Kuangalia matokeo ya kidato cha pili (II) 2021 gusa hii link https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftna/S2378.htm Kuangalia matokeo ya watahiniwa wakujitegemea PRIVATE CANDIDATES (PC) (IV) 2021 gusa hii link https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/results/p2378.htm Kuangalia matokeo Read More …