
Shule ya sekondari Airport bado tunaendelea kepokea wanafunzi wanoitaji kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 kwa maelezo zaidi wasiliana nasi.
Provide Them Quality Education
All list of post that is event in nature
Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 shuleni airport. Sherehe itahusisha wanafunzi wote walio fanya vizuri katika Read More …