
Mkurugenzi wa shule ya sekondari Airport anatangaza nafasi kwa wanafunzi wanaoanza kidato Cha kwanza (I) 2023. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wanafunzi wanaotokea mbali. Shule ni ya wavulana na wasichana, tunapokea wanafunzi wa Dini zote. Tunafundisha masomo ya sayansi na sanaa, Ada zetu ni nafuu Sana. KARIBU SANA.
Kwa maelezo zaidi pakua fomu hapo chini..
Ahsante sana.
Tunaomba muweke na fomu ya bweni kwenye website
Ahsante tutaweka