FORM FIVE (V) 2022.

Uongozi wa shule ya sekondari Airport unayofuraha kuwatangazia nafasi za kujiunga kidato cha tano mwaka 2022. Masomo yataanza tarehe 01/06/2022 fomu zinapatikana shuleni kwa shilingi elfu kumi tu 10,000/=. Shule ni ya kutwa na bweni.

Gusa link hii kudanlod fomu, FORM FIVE (V) 2022

Kwa maelezo ya kukaa bwenini Danlod fomu hii, FOMU YA MAELEZO YA BWENINI

One thought on “FORM FIVE (V) 2022.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *