FORM FIVE (V) 2022.

Uongozi wa shule ya sekondari Airport unayofuraha kuwatangazia nafasi za kujiunga kidato cha tano mwaka 2022. Masomo yataanza tarehe 01/06/2022 fomu zinapatikana shuleni kwa shilingi elfu kumi tu 10,000/=. Shule ni ya kutwa na bweni. Gusa link hii kudanlod fomu, Read More …