PRE FORM FIVE(V) 2022.

Uongozi wa shule ya sekondari AIRPORT unatangaza nafasi za masomo ya PRE FORM FIVE (V) 2022. Masomo yataanza tarehe 01/03/2022 Ada ni 20,000/= kwa wanafunzi wa kutwa, 120,000/= kwa wanafunzi watakao itaji kukaa Bwenini. Tahasusi/combination zitakazofundishwa ni PCM, PCB, PGM, CBG, EGM, HGE, HGK, HGL na HKL. Karibuni sana AIRPORT HIGH SCHOOL, MBEYA.


 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *