Uongozi wa shule ya sekondari AIRPORT unatangaza nafasi za masomo ya PRE FORM FIVE (V) 2022. Masomo yataanza tarehe 01/03/2022 Ada ni 20,000/= kwa wanafunzi wa kutwa, 120,000/= kwa wanafunzi watakao itaji kukaa Bwenini. Tahasusi/combination zitakazofundishwa ni PCM, PCB, PGM, Read More …