PRE-FORM ONE 2021

Shule ya sekondari airport mbeya inatoa mafunzo ya PRE-FORM ONE kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka 2021. masomo yameanza tarehe 13/09/2021 mpaka 22/12/2021 malipo kwa mwezi ni shilingi elfu 10,000 kwa watakaokua wanatokea nyumbani kwa wanafunzi watakao itaji kukaa Bwenini watalipia shilingi 80,000. mwanafunzi wa bweni atatakiwa kuja na sanduku lake,blanketi,shuka na nguo za kushindia, Godoro atapatiwa na shule. masomo yanayofundishwa ni masomo 11 ya sekondari pamoja na kompyuta. mawasiliano zaidi piga sim 0755052640 au 0759439132.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *