SHEREHE YA KITAALUMA 31/07/2021.

Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 shuleni airport. Sherehe itahusisha wanafunzi wote walio fanya vizuri katika mtihani wa taifa wa kidato cha sita 2021 kwa kupata daraja la kwanza.

2 thoughts on “SHEREHE YA KITAALUMA 31/07/2021.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *