NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO V 2021.

Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 mwanafunzi awe na ufaulu wenye credit tatu au zaidi kwenye cheti chake cha form four. shule ina Tahasusi zote za sanaa (art), sayansi(science) na biashara(business). HKL, HGK, HGL, PCM, PCB, PGM, CBG, HGE, NA EGM.

Danlod fomu hapaA-level join instraction.

3 thoughts on “NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO V 2021.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *