Fomu ya maelezo ya wanafunzi wanaopenda kukaa bwenini (hostel) katika shule ya sekondari Airport mkoani mbeya. Ipakue kwa kubofya hapa FOMU YA BWENINI (HOSTEL)
Month: July 2021
SHEREHE YA KITAALUMA 31/07/2021.
Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 shuleni airport. Sherehe itahusisha wanafunzi wote walio fanya vizuri katika Read More …
KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA (I) NA CHA TATU (III).
Uongozi wa shule unatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaoitaji kuamia kidato cha kwanza (I) na cha tatu (III) kwa mwaka 2021. shule itaendelea kupokea wanafunzi wanaoamia mpaka tarehe 30/08/2021 KARIBUNI SANA. DANLOD FORM HAPA.
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO V 2021.
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 mwanafunzi awe na ufaulu wenye credit tatu au zaidi kwenye cheti chake cha form four. shule ina Tahasusi zote za sanaa (art), sayansi(science) na biashara(business). HKL, HGK, Read More …