Shule ya sekondari airport mbeya inatoa mafunzo ya PRE-FORM ONE kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka 2021. masomo yameanza tarehe 13/09/2021 mpaka 22/12/2021 malipo kwa mwezi ni shilingi elfu 10,000 kwa watakaokua wanatokea nyumbani kwa wanafunzi watakao itaji kukaa Read More …
Year: 2021
NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA (I), TATU (III) NA TANO (V)2021.
Mkurugenzi wa shule ya sekondari airport anatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaohitaji kuhamia kidato cha kwanza, tatu na cha tano kwa mwaka wa masomo 2021. nafasi zipo kwa wanafunzi wa jinsia zote na dini zote pia hostel zipo kwa Read More …
FOMU YA KUKAA BWENINI.
Fomu ya maelezo ya wanafunzi wanaopenda kukaa bwenini (hostel) katika shule ya sekondari Airport mkoani mbeya. Ipakue kwa kubofya hapa FOMU YA BWENINI (HOSTEL)
SHEREHE YA KITAALUMA 31/07/2021.
Mkuu wa shule ya sekondari airport anayofuraha kuwakaribisha wanafunzi, wazazi, walezi na ndugu na jamaa kwenye sherehe ya kitaaluma ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa shule siku ya jumamosi tarehe 31/07/2021 shuleni airport. Sherehe itahusisha wanafunzi wote walio fanya vizuri katika Read More …
KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA (I) NA CHA TATU (III).
Uongozi wa shule unatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaoitaji kuamia kidato cha kwanza (I) na cha tatu (III) kwa mwaka 2021. shule itaendelea kupokea wanafunzi wanaoamia mpaka tarehe 30/08/2021 KARIBUNI SANA. DANLOD FORM HAPA.
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO V 2021.
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 mwanafunzi awe na ufaulu wenye credit tatu au zaidi kwenye cheti chake cha form four. shule ina Tahasusi zote za sanaa (art), sayansi(science) na biashara(business). HKL, HGK, Read More …