Welcome

Karibu shule ya sekondari Airport inapatikana ndani ya jiji la mbeya ulipokuwa uwanja wa ndege wa zamani wa mkoa wa mbeya kilomita moja (1 km)  kutoka mwanjelwa. shule inatoa elimu kwa vidato vyote kwanzia kidato cha kwanza (I)  mpaka cha sita (VI) shule inawanafunzi wanaotokea nyumbani (kutwa) na mabweni (hostel) kwa wanafunzi wanaotokea mikoani. shule inapokea wanafunzi wa dini zote waislamu na wakristo. malezi yetu ni yenyekuzingatia maadili ya kitanzania kwa wanafunzi wetu.